Posts

HAKIM ABDALLAH

Image
HAKIM ABDALLAH shotokan karate player from Tanzania. Started playing shotokan karate in 2013. He gained 1st Dan black belt in December 2016. All this time he has been under the training from Sensei Yahya Mgeni

SHULE ZENYE ADA KUBWA ZAIDI TANZANIA

TOP 10 SHULE ZENYE BEI KUBWA TANZANIA TUSHIRIKISHANE VITU VIZURI 10. Morogoro International School (MIS) Katika Shule ya MIS ada yake kwa mwanafunzi ni kati ya Sh 4.4 Milioni  kwa shule ya Chekechea na Sh 17 milioni kwa elimu ya  Sekondari. Shule hii ni ya gharama kubwa zaidi katika eneo la mkoa wa Morogoro. Shule inatumia mtaala wa Cambridge. 9. International School of Moshi (ISM) ISM ni shule ghali zaidi katika eneo la Moshi. Ada ya kila mwanafunzi kwa mwaka ni kati ya Sh 14.5 Milion kwa elimu ya msingi na Sh 17.2 Milioni  kwa elimu ya Sekondari. Shule inatumia mtaala wa IB. 8. Aga Khan Shule ya Msingi na Sekondari Aga Khan ipo nafasi ya nane kwa Shule za gharama kubwa Tanzania. Ipo katika eneo la Dar es salaam. Mwanafunzi wa ngazi ya msingi,  kila mwaka ada ni  kati ya Sh 7.2 Milioni na Sh 20.4 Milioni kwa ngazi ya sekondari. Aga Khan inatumia mtaala wa IB. 7. Hope of Peace Academy (HOPAC) Hopac ni Shule ya kikristo ya Kimataifa inayopatikana Dar ...

DIPLOMA SELECTIONS 2017/018

Please kindly login into your NACTE  acount and look what selection have they made for you. but if you don see anything be patient and wait still the seletions are continuing. Visit the link so as to login into your account.      http://41.93.40.136:8080/noavs/Login.jsp

KAMBI ZA JKT MUJIBU WA SHERIA FORM 6 216

TAZAMA MAJINA NA KAMBI ZA VIJANA WA FORM SIX 2016 http://jkt.mil.tz/vikosi-walivyopangiwa-wanafunzi.html

HAKIM ABDALLAH ON YOU TUBE

VISIT MY YOUTUBE PAGE AND SUBSCRIBE https://www.youtube.com/channel/UCPmA5weyfCem7X1Nu0GJkhA

FORM FOUR SELECTIONS

I THINK ITS BETTER WALIOFANYA VIZURI KWENDA DIPLOMA INSTEAD OF ADVANCE http://www.nacte.go.tz/en/update.php?id=1457180293&slug=KUFUNGULIWA-KWA-MFUMO-WA-PAMOJA-WA-UDAHILI-KWA-MWAKA-WA-MASOMO-2016/2017
MUHIMBILI UNIVERSITY http://www.muhas.ac.tz/

LEARN ISLAMIC LESSONS ONLINE

ISLAMIC EDUCATION http://www.islamiceducationtz.com/

Kirinjiko

MATOKEO YA KILIMANJARO ISLAMIC FORM FOUR 2015 http://tanzania.go.tz/matokeo_2015/CSEE2015/results/s5300.htm

SHULE YA SEKONDARI KASHAI

MATOKEO YA SHULE YA KASHAI SEKONDARI http://tanzania.go.tz/matokeo_2015/CSEE2015/results/s3274.htm