HAKIM ABDALLAH shotokan karate player from Tanzania. Started playing shotokan karate in 2013. He gained 1st Dan black belt in December 2016. All this time he has been under the training from Sensei Yahya Mgeni
TOP 10 SHULE ZENYE BEI KUBWA TANZANIA TUSHIRIKISHANE VITU VIZURI 10. Morogoro International School (MIS) Katika Shule ya MIS ada yake kwa mwanafunzi ni kati ya Sh 4.4 Milioni kwa shule ya Chekechea na Sh 17 milioni kwa elimu ya Sekondari. Shule hii ni ya gharama kubwa zaidi katika eneo la mkoa wa Morogoro. Shule inatumia mtaala wa Cambridge. 9. International School of Moshi (ISM) ISM ni shule ghali zaidi katika eneo la Moshi. Ada ya kila mwanafunzi kwa mwaka ni kati ya Sh 14.5 Milion kwa elimu ya msingi na Sh 17.2 Milioni kwa elimu ya Sekondari. Shule inatumia mtaala wa IB. 8. Aga Khan Shule ya Msingi na Sekondari Aga Khan ipo nafasi ya nane kwa Shule za gharama kubwa Tanzania. Ipo katika eneo la Dar es salaam. Mwanafunzi wa ngazi ya msingi, kila mwaka ada ni kati ya Sh 7.2 Milioni na Sh 20.4 Milioni kwa ngazi ya sekondari. Aga Khan inatumia mtaala wa IB. 7. Hope of Peace Academy (HOPAC) Hopac ni Shule ya kikristo ya Kimataifa inayopatikana Dar ...
*NOTE* Stop forwarding as received without proper Verification because you might put someone's life in danger. *There is no free Money,* There is no free Credit There is no free Data anywhere in Africa via Links Nadhan mnajua utofauti wa http na https What is the difference between *http* and *https*? Please make sure you read this to the end. Some of you may be aware of this difference, but it is worth sharing for many that are not. The *main* difference between *http://* and *https://* is all about keeping you *secure*. *HTTP* stands for *Hyper Text Transfer Protocol*. The *S* stands for *"Secure"*. If you visit a Website or web page, and *PLEASE* look at the address in the web browser and *IF* it begins with the following: *http://*. This means that the website is talking to your browser using the regular unsecured language. In other words, it is possible for someone to "eavesdrop" on your compu...
Ni mida ya saa kumi na moja saa za jioni kijana anampigia simu rafiki yake na kusema "samahani rafiki yangu ninashida na hela, mama yangu anaumwa na hapa nilipo sina pesa ya matibabu. Rafiki anajibu "usijali!! Nipigie baada ya mechi saivi nipo kucheki game ya simba na yanga Baada ya mechi anampigia anakuta sim imezimwa Kama haamini hivi anapiga tena na tena lakini bado simu haipatikani Anajaribu kuwatafuta marafiki zake wengine lakini wote wanasema hawana pesa. Mikono nyuma huku machozi yakimlenga anaamua kurudi hospitalini Ile anaingia wodini anakuta bahasha ya dawa imewekwa pembeni ya kitanda huku mama yake akiwa amelala Anamuuliza mdogo wake mdogo wake anajibu "rafiki yako alikuja hapa akachukua maelezo ya daktari kisha akaenda kununua hizo dawa. Na ametoka hapa muda si mrefu. Kwa furaha kijana anamfuata rafiki yake na kumuuliza "vip ulikuwa wapi? Mbona ulinizimia simu?" Kwa upole rafiki anamshika begani kisha anasema "nisamehe sana rafiki ya...
Comments
Post a Comment